Nahitaji joining instruction ya Mpanda Girls

Lucas Mganda

JF-Expert Member
Mar 13, 2016
245
165
Wadau anayeweza kunisaidia kupata joining instruction ya Mpanda Girls binti yangu amepangwa hapo PCB
 
Hongera kwa selection ya mwanao. Option ninazoziona:-
Kwenda shuleni phyasically.
Kutafuta mawasiliano ya shule husika na kupiga simu kupata hiyo kitu.
 
Hongera kwa selection ya mwanao. Option ninazoziona:-
Kwenda shuleni phyasically.
Kutafuta mawasiliano ya shule husika na kupiga simu kupata hiyo kitu.
Hyo ya pili ndo nzuri zaidi,kama yupo mbali na mpanda amuagze mtu amchukulie atumiwe ktk gari,posta au ktk email
 
Back
Top Bottom