Ada ni ngap mkuu advanceUmepata Mkuu ipo Morogogo mjin ni bonge LA Shule inaitwa Alfagems secondary ni Private, day na bweni, olevel na advance, ada ni nafuu Sana na inafanya vzr Moro,
Kwa mawasiliano piga 0732-931605
Au website www.alfagems.com
jaman hizo comb mkopo hakuna hata ajira zake noma mbona mnazingangania?Habari zenu wadau, mimi ni mkazi wa Dar, nahitaji shule ya advance iliyo mkoani tofauti na Dar yenye unafuu wa gharama. shule iwe ya bweni (boys) au (mchanganyiko). Combination ni HGL.
Nitashukuru sana, kama nitapewa na mawasiliano.
Ahsante.