Msaada: Anayeifahamu Shule ya Secondari Lusanga, Morogoro

Shule ipo mtibwa kiwanda cha sukari, ukifika morogoro mjini panda basi la kwenda Turian- madizini ukifika tu mwisho wa gari, chukua bodaboda mwambie unaenda lusanga seco nauli ya boda ni 2000 toka madizini. Ufaulu ni wakawaida ni juhudi zako tyu, shule imezungukwa na kijiji cha lusanga
 
Back
Top Bottom