Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,954
- 6,212
Salaam ndugu zangu. Natumaini nyote mnaafya tele na weekend yaenda vizuri.
Kama kichwa cha habari kilivyo sema hapo juu, nilikua naomba mwenye utaalam na uzoefu wa haya maswala anisaidie nipate kuelewa na kujua maana sijui lolote kwenye hili.
Hivi Tanzania kuna chuo kinatoa bachelor degree program in insurance and risk management? Na je soko lake katika ajira likoje?!?!
Kuna mtu anataka kuniendeleza kielimu lakini amenipa choice mbili ila hii ameisisitizia zaidi.
So nipo curious kutaka angalau kupata Ufahamu juu ya hili swala.
Ntakua super humbled kwa michango yenu.