wakuu kwema,
nadadayangu anaumri wa miaka 29,kifupi kipindi anasoma sekondari aliishia kidato cha 3,baada ya kudanganywa na mme,akajikuta anazalishwa.ameish maisha ya kuunga unga mpaka somo la...
Ndugu wanaJF,
Kuna dogo langu anahitaji msaada wa mawazo afanyeje baada ya kutochaguliwa?
Amehitimu kidato cha nne mwaka jana ila amekosa sifa za kuchaguliwa kidato cha tano na matokeo yake...
TCU to screen graduates' research works
BY CORRESPONDENT DAVID
3rd April 2014
Tanzania Commission for Universities (TCU)
The Tanzania Commission for Universities (TCU) intends to start...
Haya fursa hyo kwa certificate, diploma na degree
certificate uwe na D3
Haya karibuuuun msome certificate ya maendeleo ya jamii mwaka mmoja
Mpate,ajira
Chuo ni cha serikali
Habari zenu wana jamvi
Me ni mhitimu wa Form 4 2015
Niliapply Chuo Clinical Officer C.O
But post za shule zimetoka nimechaguliwa HGL Tabora Boys High School
Matokeo yangu; Phy-D Chem-C Bios-A...
Wakuu habari jumatatu ya wiki tulipofika ofisi ndogo ya tamisemi magogoni walituambia mwaka huu hakuna uhamisho wa wowote mpaka ufanye kwa njia ya kawaida pindi uwasilipo shule
Ila baada ya muda...
Naomba kujuzwa makadirio ya gharama kwa mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya karatu.
Mdogo wangu amechaguliwa huko, roughly tuandae sh ngapi ikiwa safari itaanzia mbeya mbarali? Alale Arusha au...
Naomba kuuuliza, mimi nimemaliza form 4 nikapata D nne, C moja, na F mbili. Nilijiunga na CBE na kusoma certficate ya procurement.
Kwa sasa nataka kusoma Ualimu ngazi ya certifcate ama diploma...
Ninakijana wangu amepangiwa chule ya maposeni Songea (kidato cha sita) kwenye mchepuo wa sanaa na yeye amefaulu mchempuo wa sayansi na hiyo shule haina mchepuo wa sayansi hivyo naombeni msaada...
Naomba Msaada wa kujua Div ya haya matokeo.. hawa wanafunzi walisoma nje wakamaliza F6 nje ya nchi.. na haya ndio matokeo yao katika masomo matatu (principal subjects ) baada ya kubadilishiwa na...
Wakuu habari zenu. Naomba kwa yoyote anaejua au mwenye details zozote za NACHINGWEA SEC SCHOOL, kama vile comb zilizopo, picha za hapo shuleni na kama ni single au mixer school. Msaada wenu please!
Kuna vijana mwaka Jana hawakupewa kujaza zile fomu za kujiunga na kidato cha tano na vyuo ila wamefaulu vizuri wengine wanadaraja la I na II je wafanye nini ilikupata nafasi kwenye shule za serikali?
Nataka nijifunze kingereza kilicho safi na kinachonyooka lakini mimi bado beginner. Nataka nijue sehemu gani itakua nzuri kwangu na nitaweza kuzungumza hata nikienda nje ya nchi.
Nawasilisha.
Ndugu wana jf kuna dogo amehitimu f4 2015 alipata DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D.
Je kwa matokeo haya atachaguliwa kusomea Diploma in Primary Education...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.