kilaza mjanja
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 654
- 1,143
Katika hali ya kushangaza na kusisimua leo hii nimekutana na wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye furaha na bashasha kubwa huku wakieleza furaha yaho juu ya hali inayoendelea Chuo Kikuu Dodoma.
Katika mahojiano yao wameeleza kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Dodoma upande wa mipango na fedha anaelekea kustaafu na kuachia ngazi husika na amebakisha wiki moja akimaanisha mwishoni mwa mwezi huu atakuwa anakabidhi ofisi hiyo. Kiongozi huyo anae fahamika kwa jina la Prof. Mlacha amekuwa akilalamikiwa na wafanyakazi pamoja na wanafunzi wa chuo hicho kwa tabia zake za kibabe na kutukana kila alie mbele ya macho yake huku akihusanishwa na ukaribu wake na mmoja wa marais wastaafu.
"Bora aondoke kwani alikuwa Nkurunzinza wa hapa UDOM, yani watu wazima tunatukanwa mbele ya watoto na kudhalilishwa na kutishiwa kufukuzwa kazi? Kweli hii ni haki? Bora aondoke zake tu"
"Bora aondoke boya huyo kwani ameshapoteza ndoto za wanafunzi wengi kwa kuwafukuzwa chuo pasipo na sababu. UDOM imeitwa chuo cha kata kwasababu ya huyo jamaa"
Uchunguzi wa gazeti hili pia lilidokezwa na mmoja wa mkaribu wake kuwa proffesa huyo muda wote huwa anavuta sigara kwenye ofisi yake na ukiingia ofisi yake kama jiko la kuni kwani moshi uliomo humo ndani ni wa ajabu sana,, ofisi yake matusi ya nguoni, kutishwa,, kufukzuzwa kazi na vibao ni vitu vya kawaida,, "kiufupi hapa hatuna heshima yoyote zaidi ya woga tu tumemchoka sana huyu mtu" kilisema chanzo hicho
Taarifa rasmi zinasema kuwa mwishoni mwa mwezi huu kiongozi huyo atamaliza muda wake ila wandani wetu wanatuambia kuwa bado mzee huyo anataka kuendelea kushika nyadhifa hiyo.
Nimeikuta sehemu hivyo tujadili kwa hoja.
Mjumbe hauawi.