Lucas Mganda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 245
- 165
Kuna vijana walimaliza kidato cha nne kaengesa seminary na kufaulu vizuri ila kinachoonekana hawakuja jaza fomu kwa ajili ya kuchagua combination je kwa sasa wanatakiwa wafanye nini ili wapate selection kidato cha tano kwa shule za serikali?