Kwa wenye kuifahamu Mkugwa Secondary iliyoko Kibondo, Kigoma

winlicious

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,005
1,150
Habari wanajamii
Nna Mdogo Wangu amechaguliwa kwenda kidato cha tano katika shule ya mkugwa. Naomba kujua mazingira yake kwa ujumla, je kuna walimu Wa kutosha na vifaa vya kufundishia?
Natanguliza shukrani
 
Mkugwa duuuh ni kibondo huko mkoani kigoma aiseeee me nasoma kigoma boys xema hyo xhule ni ya girls tupu na ipo katikat ya mxitu hapo kati xo kila la kheri likizo inabidi aisikie kwenye bomba
 
Duh kweli uko Shule maana uandishi wako unakutambulisha kabisa.
 
Habari wanajamii
Nna Mdogo Wangu amechaguliwa kwenda kidato cha tano katika shule ya mkugwa. Naomba kujua mazingira yake kwa ujumla, je kuna walimu Wa kutosha na vifaa vya kufundishia?
Natanguliza shukrani
NI SHULE YA WASICHANA YENYE MCHEPUO WA SANAA (ARTS) ,KWA MAANA HIYO WALIMU WA MASOMO HAYO WAPO WENGI,HALAFU VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA MASOMO YA SANAA UNA MAANA GANI?ie vitabu,chaki,au una maana gani hapa
 
Mkugwa duuuh ni kibondo huko mkoani kigoma aiseeee me nasoma kigoma boys xema hyo xhule ni ya girls tupu na ipo katikat ya mxitu hapo kati xo kila la kheri likizo inabidi aisikie kwenye bomba
Mmmmh kwamba hakuna likizo au ni umbali wa shule ilipo?
 
Habari wanajamii
Nna Mdogo Wangu amechaguliwa kwenda kidato cha tano katika shule ya mkugwa. Naomba kujua mazingira yake kwa ujumla, je kuna walimu Wa kutosha na vifaa vya kufundishia?
Natanguliza shukrani

shule iko poa tu mama, kina umbali kidogo kutoha halmashauri ya kibondo kuelkea kasulu, ipo msituni kidogo na mazingira yakitabu yakofresh sana manake kuna kaubaridi kidogo, mwambie akasome manake NGOMA ni kama TEMBERE, vumbi lakushiba, parachichi kama kawa, pombe za kienyeji (kayoga, mririna n.k) za kumwaga. Kingine asipende maugomvi na wanakijiji, kukuwekea sumu ni kama kuweka chumvi kwenye mchuzi, na pia mtu akisema nakukata ujue anakukata kweli. wanaume wa huko hwajui kutongoza kabisa, wengi wao wanalzimisha, anaweza akaletewa zawadi ya maparachichi akipokea ndo amekubali uchumba, hahahahahahaha, bara kuna mambo sana wakiwa dar huwezi wajua
 
Hhhahhaaaaa imebidi nicheke tu

Hahhaaaaaa yan imebidi nicheke tu
 
Back
Top Bottom