Jordan jacob
Member
- May 28, 2016
- 26
- 4
Kwa MTU aliyesomea HGL mbali ya kuwa mwalimu ,anaweza akawa nani?
Umeona eeh,walioachwa selection ya kidato cha tano wameambiwa sbb umri kuzidi miaka 25,sasa jiulize mambo haya yanaenda wapi mwisho wa sku utaambiwa ajira za ualimu mwisho miaka 30 je wale ngumbalo waliokosa elimu wakajiendeleza hadi kusomea ualimu na miaka 35 yetu tutapata ajira kweli ?me iwonder hii serikali yetu mnasema vijana wasome leo eti wasai umri kuzidi,walahi naona vilio vya walimu wengi kwenye ajira ya mwka huu,huyu jammaa hana huruma hata chembeYaaah hgl hata ualimu mkopo hupati kwa ujumla arts kwa sasa sio mpango. Kama kwenye sayansi walau ina d au c hebu komaa ibukia kule arts njaa inayoendelea kutangazwa nadhani itahamia mpaka kwenye ajira