HESLB-Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kuna nini?

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,338
803
Wana JF hivi karibuni bodi husika ilitoa mwongozo na vigezo vya kuomba mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Na kwamba ifikapo leo tar 27/6/2016 Mfumo wa kuomba Mkopo kwa njia ya mtandao ungefunguliwa ili wanafunzi waanze kuomba mikopo na mwisho wa kuomba mkopo ni tar 31/7/2016. Sasa nilipoingia katika Mtandao wao yaonekana bado hawajafungua kwani nimekuta haya maneno

Karibu!
We have not opened our online Loan Application System for 2016/2017. We will notify members of the public when the system is opened.
Please wait !

Hatujaanza Kupokea maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka 2016/2017. Tutaujulisha umma tukianza kupokea.
Tafadhali Subiri !

Je! ni bado au kuna nini?
 
Back
Top Bottom