Kwa wanaoifahamu shule hii vizuri kwa A-level naomba msaada wa kufahamu vizuri, mfano waalimu wao, mazingira ya shule na assessments zao kwa wanafunzi. Nawasilisha msaada tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.