Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Wakuu msaada nahitaji kubadilisha shule nmepangiwa bongwe kasulu nahitaji kurudi dar shule kwenda Benjamin au azania wakuu kwa anayeelewa taratibu za uamisho anisaidie
Tangazo linaandikwaga miaka yote ila watu mbona watambadilisha tuKama sikosei nimesoma tangazo la tamisemi, hutakiwi kubadilisha shule wala masomo uliyopangiwa
Maana nmepangiwa arts nataka niende science pcb na huko ni mbali sana
Inategemea na ufaulu wako. Kama vigezo vipo Wala usiwe na wasiwasi fata utaratibu unahama.Maana nmepangiwa arts nataka niende science pcb na huko ni mbali sana
Mimi nna Two ya 21.. Masomo nane nna C bt Phy nna D.. nmepangiwa PCM , hapo phy D, chem C na math C.... kigezo ulichokizungumzia dzain kam cjakuelewa kwa hpo hzo marks vp kuna posibility y kuhamaInategemea na ufaulu wako. Kama vigezo vipo Wala usiwe na wasiwasi fata utaratibu unahama.
Thanks nmekuxomakule tamisemi wanaona kazi kupokea barua za uhamisho we cha kufanya andika barua kwa afisa elimu wa shule uliopangiwa ipitie kwa afisa elimu wa wilaya na mkuu wa shule alafu na anuari ya shule unaoenda
ukimaliza we unapitisha tu wao wanasaini kazi mpk ukifika kwa afisa elimu mkoa unakupa form flan hiv
mengine utajua ukifanya hilo
.kule tamisemi wanaona kazi kupokea barua za uhamisho we cha kufanya andika barua kwa afisa elimu wa shule uliopangiwa ipitie kwa afisa elimu wa wilaya na mkuu wa shule alafu na anuari ya shule unaoenda
ukimaliza we unapitisha tu wao wanasaini kazi mpk ukifika kwa afisa elimu mkoa unakupa form flan hiv
mengine utajua ukifanya hilo