Kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa chuo cha afya (ufamasia). Na nitaanza "level" gani?

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
410
477
Kwa matokeo haya naweza ku-apply Chuo cha afya?
CSEE 2015
Phy C
Chem A
Bio B
Math B
Eng F.
et.c

N.B. Naombeni mnijibu kama nilivyouliza.
 
Kwa matokeo haya naweza ku-apply Chuo cha afya?
CSEE 2015
Phy C
Chem A
Bio B
Math B
Eng F.
et.c

N.B. Naombeni mnijibu kama nilivyouliza.
Apo Eng ungekuw na D ingekuw saf kbs mana uko kwngn una sifa zote ila apply mana masomo muhm yako vzur
 
Kwa matokeo haya naweza ku-apply Chuo cha afya?
CSEE 2015
Phy C
Chem A
Bio B
Math B
Eng F.
et.c

N.B. Naombeni mnijibu kama nilivyouliza.
Unaweza na utaanza na level ya diploma ila sasa hivi NACTE wameshafunga application zote may be next year
 
Ndugu wana jf. Natafuta nafasi ya kazi yakufundisha. Mimi ni mhitimu wachuo kikuu katika degree ya ualimu katika masomo ya hesabu na geographia. Ninauwezo wa kufundisha sekondary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na pia nina uwezo wakufundisha collage. Kwa maelezo zaid pamoja na cv zangu naomba tuwasiliane inbox au namba hii 0744704597.
 
Kwa matokeo haya naweza ku-apply Chuo cha afya?
CSEE 2015
Phy C
Chem A
Bio B
Math B
Eng F.
et.c

N.B. Naombeni mnijibu kama nilivyouliza.
duuh wewe dogo unafaa kupigwa makofi kwanini english umepata F?
Maths umepata B halafu engl F.
Lakini chuo unapata bila tatizo subiri mpaka mwez 7 wakianza tena second selection
 
Back
Top Bottom