Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau, Wanaoweza kujua/kubashiri ni lini matokeo ya CPA yanaweza kutoka mnijuze. Maana naona siku zinasogea sana na ninahamu ya kujua nilichovuna. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwaka Jana niliomba mkopo ila wakati wa kuomba chuo hali ilikua mgumu mwishowe sikuomba chuo.. Mwaka huu nimeomba chuo, je nifuate hatua vipi maana mwaka Jana nishaomba mkopo? Je, niombe tena...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Natauta kazi ya kufundisha Geography na History nimemaliza BED ARTS YEYOTE WA KUNISAIDIA 0763320988
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi nilipost pone masomo mwaka jana na nilifanikiwa kupata mkopo, na mwaka huu naresume masomo, naombeni msaada kujua je natakiwa kuomba tena mkopo au nafanyaje ili nisome kwa mkopo mwaka huu
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu..!!jaman mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka(2015)na kupata div 3 ya point 25 japo comp haikubalance sasa nataka kujiunga na Chuo chochote cha Afya kwa kuwa nilipata D ya Chemi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu wa secondary nahitaji mwalimu wa kubadirishana nae, me nipo manispaa ya bukoba yeye awe manispaa ya songea, sumbawanga, iringa, kibaha(pwani) na dodoma, ndugu no yangu ni 0759444928
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye uelewa zaidi kuhusu hao watu naomba anieleweshe
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mwenye kachaguliwa Mataka high school anitunie join instruction m cjaziona kwenye link ya tamisemi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
msaada wanajamii forum kwa anayejua joining instruction za form 5 lini zinatoka anisaidie maana mdogo wangu anataka kujua
0 Reactions
30 Replies
21K Views
Kama umepangiwa Rungwe High School karibuni sana,kama unaswali lolote kuhusu shule karibu!
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari za jioni wadau, Naomba nijue kama baraza la mtihani bado linautaratibu wa muyoa result slip? Inahitajika kesho na mwanafunzi kamaliza mkoani ambako shule zimefunga, mpaka zikifungua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini wakuu, nataka kusoma IT. Naomba kuuliza, je ni ngumu?nilisoma masomo ya Arts. Nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hakuna Uhamisho Wanafunzi Wapya wa Kidato cha Tano http://www.jamiiforums.com/2016/06/hakuna-uhamisho-wanafunzi-wapya-wa.html
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mafunzo ya udereva veta Yanachukua mda gani na ni shingapi? Short course
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Shule ni nzuri ina huduma muhimu kama maji, hospital, walimu na umeme, coz imezungukwa na wamissionary wa shirika la benedictne, aisee nimegraduate pale 2013 na nimefaulu, so ila kuna sheria...
0 Reactions
85 Replies
29K Views
Ndugu wana JF habari za sasa hivi, Huyu binti alikuwa mzuri tu o-level lakini alijikuta akitolewa nje ya chumba cha mtihani wa NECTA kwenye Physics 1 baada ya kuanza paper. Performance yake ipo...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu wana jf naomba msaada wa mawazo ni wapi chuo gani naweza kujifunza ufundi computer na ufundi simu kozi fupi kwa muda wa miez 2 tuu.. msaada kwa anaye pafahamu kwenye walimu waliobobea...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
SEX --F AGGT--25 DIV--III CIV - 'D' HIST - 'F' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'F' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
0 Reactions
4 Replies
933 Views
wakuu kwema, nadadayangu anaumri wa miaka 29,kifupi kipindi anasoma sekondari aliishia kidato cha 3,baada ya kudanganywa na mme,akajikuta anazalishwa.ameish maisha ya kuunga unga mpaka somo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, Kuna dogo langu anahitaji msaada wa mawazo afanyeje baada ya kutochaguliwa? Amehitimu kidato cha nne mwaka jana ila amekosa sifa za kuchaguliwa kidato cha tano na matokeo yake...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom