Combination gani inafaa, PCM au PGM?

Combination gani inafaa, PCM au PGM?

MUSA IZADINI

New Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Jamani samahani naomba mnisaidie hivi ukitaka kusomea enginering geology ni comb gani unatakiwa kusomea PCM auPGM?
 
PCM Inafaa. na mimi naomba msaada wenu nikombi gani inafaa zaidi kati ya PCM&PCB
 
PCM Inafaa. na mimi naomba msaada wenu nikombi gani inafaa zaidi kati ya PCM&PCB
Hapa inategemea unalenga nini? kama heshima vhote viko sawa, kama pesa nadhani PCM utapiga pesa ukichagua vyema course ya kusomea.
 
Jamani nachukua PCM ila naomb mnisaidie ili niipende zaid ni corse gani nikisomea ninaweza kupata mshiko mrefu kuliko combination Ya PCB?
 
Hapa inategemea unalenga nini? kama heshima vhote viko sawa, kama pesa nadhani PCM utapiga pesa ukichagua vyema course ya kusomea.
Hivi kwenye swala la ajira PCM si inabidi kujitafutia mwenyew ama nimekosea?? Ama kuajiliw inategemea makampuni binafs ama serikalin
 
samahan na mm naomba kuuliza kuna mwenye uelewa kuhusu comb ya CBN ? je na ajira zake zikoje?
 
Jamani nachukua PCM ila naomb mnisaidie ili niipende zaid ni corse gani nikisomea ninaweza kupata mshiko mrefu kuliko combination Ya PCB?

Kasomee ufisadi ndo una mshiko kuliko PCB na PCM au piga BSc.Drug Trafficking.
 
SOMA PGM.WW MAMBO YA GEOLOGY GEOGRAPHY INAHUSIKA SANA
 
Back
Top Bottom