Msaada kwa anayeijua Berege Secondary iliyopo Mpwapwa, Dodoma

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,843
9,278
Habarini

Nilikuwa naomba msaada kuhusu hii shule. Mpwa wangu amechaguliwa advance Berege huko sasa je mazingira yakoje, joining instruction ntapataje, Academic performance, Sare za rangi gani? Umbali gani toka mjini?

Ni hivyo tu.
 
Inapatikana kilometa takribani 20 ukitoka mpwapwa mjini barabara ya kuelekea kwa Mhe Simbachawene Kibakwe
 
Back
Top Bottom