isaiah9 Member Jun 29, 2014 71 66 Jun 28, 2016 #1 Habari zenu wakuu naomba kuuliza kama application za mikopo kwa wahitimu wa kidato cha sita imeanza? Natanguliza shukrani
Habari zenu wakuu naomba kuuliza kama application za mikopo kwa wahitimu wa kidato cha sita imeanza? Natanguliza shukrani
dexterous JF-Expert Member Feb 26, 2014 2,037 3,132 Jun 28, 2016 #3 ndio walewale said: Tayari, lakini bado. Click to expand... Tayar kwa maneno lkn kw vitendo bado
Rajab_Omar JF-Expert Member May 15, 2016 16,477 27,176 Jun 28, 2016 #4 Serikali Maneno Mengi, Vitendo Sifuri! Endelea Kusubiri Mkuu.