Naombeni msaada wa kumuamisha kijana shule

Abuu Usama

Member
Jun 26, 2016
11
1
Ninakijana wangu amepangiwa chule ya maposeni Songea (kidato cha sita) kwenye mchepuo wa sanaa na yeye amefaulu mchempuo wa sayansi na hiyo shule haina mchepuo wa sayansi hivyo naombeni msaada jinsi ya kumhamisha aende shule yenye mchepuo wa sayansi kabla ya kuripot shule hiyo ya maposeni iliyoko songea my contact +255655724443
 
Ninakijana wangu amepangiwa chule ya maposeni Songea (kidato cha sita) kwenye mchapuo wa sanaa na yeye amefaulu mchampuo wa sayansi na hiyo shule haina mchapuo wa sayansi hivyo naombeni msaada jinsi ya kumuamisha aende shule yenye mchapuo wa sayansi kabla ya kuripot shule hiyo ya maposeni iliyoko songea my contact +255655724443
Rekebisha kwanza yafuatayo.

Kumuamisha= kumhamisha.
Mchapuo = Mchepuo.

Usiporekebisha hapo mimi sina msaada wowote kwako na ningejua jina la kijana wako ningekwamisha juhudi zako zote. Ndiyo maana Kenya wanaidharau Tanzania ni kwa sababu ya watu kama nyie.

Asante
 
Rekebisha kwanza yafuatayo.

Kumuamisha= kumhamisha.
Mchapuo = Mchepuo.

Usiporekebisha hapo mimi sina msaada wowote kwako na ningejua jina la kijana wako ningekwamisha juhudi zako zote. Ndiyo maana Kenya wanaidharau Tanzania ni kwa sababu ya watu kama nyie.

Asante
Duh, kwasababu ya watu kama wewe ndo maana wakenya hawatuheshimu.

Sasa hujaelewa alichoandika au? Acha mbwembwe.
 
Back
Top Bottom