Habari wana jf,
Matumaini yangu mu wazima wa afya. Mimi mwanafunzi niliyechaguliwa katika shule hiyo, naomba mwenye kuifahamu anijuze sehemu ilipo na mambo mengine kiujumla. Nimechaguliwa PCB
Moja ya mambo ambayo naona maamuzi yake hayakuridhisha ni suala la hawa wadogo zetu wa UDOM. Hivi ilishindikana nini kuruhusu hao wanafunzi kumaliza masomo yao ila wakazuia usajili mpya wa...
Poleni sana wana jamvii nilitaka kujua hivi mikopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu kwa mwaka huu itatolewa kwa wale waliopata division1&2 kwa mwaka huu?
Maana huu uvumi umeenea sana kiasi kwamba...
tatizo kubwa hapa wakuu wa shule wanajihita managers/wakurugenzi na si walimu. na wamesahau kuwa wanalipwa mishahara kwa cheo cha ualimu na si utawala. wanashindwa kufundisha na ndio maana...
Wakuu nataka kumpeleka mdogo wangu akachukue HGK au HKL pale Ubungo Islamic,naomba anayefahamu ada zao advance level ni kiasi gani anifahamishe.Au kama kuna mtu anaweza kurecommend shule nzuri...
Tuzo ya Mo Ibrahim ilianza mwaka 2006. ilianzishwa na mfanyabiashara Mwingereza mwenye asili ya Sudan aitwaye Mo Ibrahim. lengo ni kuwapongeza viongozi wa Kiafrika waliofanya vzr ktk kukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.