S Sadoseba JF-Expert Member Feb 17, 2013 243 91 Jun 28, 2016 #1 Naomba mwenye details kuhusu shule hiyo naomba anisaidie tafadhali. Hii ni pamoja na Ada., accommodation na michango muhimu shuleni. Thanx in advance
Naomba mwenye details kuhusu shule hiyo naomba anisaidie tafadhali. Hii ni pamoja na Ada., accommodation na michango muhimu shuleni. Thanx in advance
Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member Aug 25, 2011 803 950 Jun 28, 2016 #6 sir doctor said: Click to expand... Mwemwemweeee!!! Alafu wabunge wamekomaa miaka thelathini na kazi na viboko juu.
sir doctor said: Click to expand... Mwemwemweeee!!! Alafu wabunge wamekomaa miaka thelathini na kazi na viboko juu.
don franco Senior Member Jul 16, 2013 142 237 Jun 28, 2016 #7 Nenda dogo shule nzuri kama wewe unapenda kujisomea vifaa vipo vitabu vipo