Wakuu habari zenu. Naomba kwa yoyote anaejua au mwenye details zozote za NACHINGWEA SEC SCHOOL, kama vile comb zilizopo, picha za hapo shuleni na kama ni single au mixer school. Msaada wenu please!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.