Lucas Mganda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 245
- 165
Kuna vijana mwaka Jana hawakupewa kujaza zile fomu za kujiunga na kidato cha tano na vyuo ila wamefaulu vizuri wengine wanadaraja la I na II je wafanye nini ilikupata nafasi kwenye shule za serikali?