Ndaiharuna
New Member
- Jun 12, 2016
- 2
- 1
Nataka nijifunze kingereza kilicho safi na kinachonyooka lakini mimi bado beginner. Nataka nijue sehemu gani itakua nzuri kwangu na nitaweza kuzungumza hata nikienda nje ya nchi.
Nawasilisha.
Nawasilisha.