Ushauri between HGL ama C.O

Dr Tareeq

Member
May 5, 2016
28
8
Habari zenu wana jamvi
Me ni mhitimu wa Form 4 2015
Niliapply Chuo Clinical Officer C.O
But post za shule zimetoka nimechaguliwa HGL Tabora Boys High School
Matokeo yangu; Phy-D Chem-C Bios-A Geog-A Hist-B English-A Maths-F Kisw-C Civics-C
naombeni ushauri aidha nikakomae advance na HGL ama Nisubiri selection za chuo C.O
 
Fanya hivi nenda skuli lipa nusu ada huku unasikilizia chuo matokeo yakitoka umepata tembea kiukwel arts kwa sasa ni majanga wala usiendelee na H kunani itakutesa mbele sana. Thank God hata sifa unazo za sayansi why arts badilishia gia angan mzee hiyo arts ni shimo hilo
 
Asante kwa ushauri mdau
 
C.O unapata ata na hiyo F ya math bt nenda advance mkuu hiyo comb iko poa sana unaweza soma health Service Management kk pale mzumbe
 
Usiende advance nipigie nikusaidie uende CO (njoo pm nikupe no nikusaidie matokeo yako yanaruhusu)
 
bro ushauri wako ndo Nloupata kwa mama angu pia!
asante
Kwa Kukusaidia tu! Kabla Ya Kuangalia Hilo Neno "Combi ipo poa" Kwanza Angalia neno "Hiyo Combi ni ya Art"..
Utakapo Maliza Advance Na "Art" unakitaka Chuo ndiyo Hapo utakapo iona Kasheshe!!

Nakama Huamini nenda www.heslb.go.tz ingawa haikuhusu lakini Kadownload GuideBook yao ya Maswala ya Mikopo Ya Elimu ya Juu uisome na Uone Nini Kitakukuta Utakapo Ibuka Na HGL...!

Mkuu Kama Hutaki Kuuweka Dilemma Mustakbali Wako, Basi Nenda C.O, Na Ukigraduate tu Diploma ya C.O basi Unakua na Priority Kwenye Bodi ya Mkopo Kama Utakwenda Kusome M.D au MBBS n.k.
 
Sawa kaka nmekuelewa
asante
 
Habari zenu wana jamvi
Me ni mhitimu wa Form 4 2015
Niliapply Chuo Clinical Officer C.O
But post za shule zimetoka nimechaguliwa HGL Tabora Boys High School
Matokeo yangu; Phy-D Chem-C Bios-A Geog-A Hist-B English-A Maths-F Kisw-C Civics-C
naombeni ushauri aidha nikakomae advance na HGL ama Nisubiri selection za chuo C.O
Kijana usidanganywe na mtu kama unajielewa vzuri nenda CO achana na hao wanao kuliwaza ukiwauliza wakubwa zako walio soma hizo comb wako wanalia kitaani njaa kali hawa ajira,hawawez kijiajili kutokana na nature ya comb sasa inabidi umuombe mungu sana na tena sana uchaguliwe CO maana uta enjoy maisha sio kusoma hayo yatakayo kupa presha ya bure ukikoswa mkopo .
 
asante bro
 
Habari zenu wana jamvi
Me ni mhitimu wa Form 4 2015
Niliapply Chuo Clinical Officer C.O
But post za shule zimetoka nimechaguliwa HGL Tabora Boys High School
Matokeo yangu; Phy-D Chem-C Bios-A Geog-A Hist-B English-A Maths-F Kisw-C Civics-C
naombeni ushauri aidha nikakomae advance na HGL ama Nisubiri selection za chuo C.O

Nenda CO mkuu najua ninachokisema HGL haitakusaidia chochote utasota mtaani tu.
 
sasa ilkuaje ukalamba F ya number? da! inasikitisha yaan hilo banda la bios uliache alaf uende HGL kwel! na nguv zote ulizotumia ktk hilo somo ila kiukwel ungapata D ya hilo somo CBG ingekuhu pia ongera sana kwa kufauru cha muhimu omba mung tena unapata diploma
 
Back
Top Bottom