Gharama kwa ufupi Karatu high school ni kiasi gani? Admision form five


N

ngwilla

Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
82
Likes
2
Points
15
N

ngwilla

Member
Joined Aug 12, 2013
82 2 15
Naomba kujuzwa makadirio ya gharama kwa mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya karatu.

Mdogo wangu amechaguliwa huko, roughly tuandae sh ngapi ikiwa safari itaanzia mbeya mbarali? Alale Arusha au Babati mana atapitia Dodoma-Singida.
 
Mkumbizi

Mkumbizi

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
173
Likes
23
Points
35
Mkumbizi

Mkumbizi

Senior Member
Joined Dec 31, 2013
173 23 35
Ada sijui,ila asilale babati afike arusha kama atafika mapema anaweza kupata magari ya karatu maana pale zipo naoh kwa muda wa jioni mpaka saa mbili,kwa mabasi la mwisho ni saibaba ambalo linatoka dar KARATU ambalo linaondoka saa 12:00 jioni kwenda karatu.

Anaweza kulala babati endapo kama kunajamaa anataka kumsalimia kama sio hivyo afike mpaka arusha,kwasababu lazima asafiri tena kutoka babati kwenda arusha alafu ndio atafute magari ya kwenda karatu.
 

Forum statistics

Threads 1,237,202
Members 475,497
Posts 29,281,249