Kwa haya matokeo anaweza anza na Diploma in Primary Education au Nursing?

Andrew Sosipeter

Senior Member
May 29, 2016
189
33
Ndugu wana jf kuna dogo amehitimu f4 2015 alipata DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D.

Je kwa matokeo haya atachaguliwa kusomea Diploma in Primary Education au in nursing au mpaka aanze na certificate?

Msaada please
 
Sijui nacte huko,lakini kulingana guidebook ya afya upande wa nursing wanataka D tatu ya BIO,CHEM, PHY na nk.
 
By the way! Kwenye Geog, Bios & Phys Amefeli (D,D & F), ni Chemi Pekee ndiyo aliyobukua C, Kwahiyo Hapo Sifikirii Kama ipo Possibility ya Kusoma Diploma ya Nursing! Lakini hapo nahisi akaanze Certificate tu.
 
Back
Top Bottom