Je anaweza kuendelea na masomo?

Je anaweza kuendelea na masomo?

Markomx

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2016
Posts
822
Reaction score
1,006
wakuu kwema,

nadadayangu anaumri wa miaka 29,kifupi kipindi anasoma sekondari aliishia kidato cha 3,baada ya kudanganywa na mme,akajikuta anazalishwa.ameish maisha ya kuunga unga mpaka somo la dunia hadaa ulimwengu shujaa limemuingia.

sasa hivi ameanzisha mvutano nyumbani anadai anataka aludi shule(aendelee form 3) ili apate cheti,anataka awe kama mwanafunzi wa kawaida ilihali tunajua hawezi kua mwanafunzi labda ajiunge na QT,lakini yeye hataki,

naombeni kuuliza,anaweza kweli kujiunga kama mwanafunzi wa kawaida,kama haiwezekani atumie njia gani ya kusoma ilimradi apate cheti?

msaada pleaz
 
nafikiri ile number ya 4m2 anayo sasa basi anaweza tafuta centre nzur2 akajiendeleza bdae akatumia ile number ya 4m2 kwa ajili ya kujisajili ili apate ya 4m4 km yuko dar centre nzur aende mapambano mwenge itv nyuma ya nakiete
 
Back
Top Bottom