Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini wadau, naomba msaada ni benki gani inatoa credit card kwa kianzio kidogo mfano TZS50000-200000. niliuliza DTB nikaambiwa laki tano.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
CRDB divident per share shs 10. huku benki ni ya pili kwa ukubwa nchini. TOL ndio usiseme. tangu waingie DSE kwa prospectus ya kubuni hawajawahi kutoa gawio la hisa. wakurugenzi na management ndio...
8 Reactions
52 Replies
9K Views
Ukinunua kifurushi cha Vodaco mathslani Haliishi bundle 5000 unaambiwa kuwa una dakika 125 Voda-Voda na dakika 10 mitandao yote. Lakini cha ajabu utapiga simu za voda na dakika zitakazotumika ni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
★"TUPATE SHULE KIDOGO"★ Kati ya sifa kubwa unayotakiwa kuwa nayo ili uweze kufanikiwa kimaisha ni uwezo wako wa kughairisha (suspend) mambo yanayokupa raha kwa muda mfupi ili kujenga mambo...
10 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu, Naona bei za magari ya Toyota siku hizi zimepanda bei huku UK sasa nafikiria kununua walau Hyundai au Honda naona afadhali kidogo. Je spare za Hyundai na Honda zinapatikana Dar jamani...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair consolidated in the first few days of last week, and then went slightly upwards. On Friday, price closed above...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold began the current bullish movement on May 9, 2017 forming a bullish bias on the market. Price is currently above the support level at 1270.00, going...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Ndugu, naomba kufahamu juu ya hawa madalali wa Hisa. Nahitaji kuwekeza katika soko la Hisa. Information zote nimefuatilia na mpaka sasa nimebakiza hii moja. Ni company gan inasifa nzuri kati ya...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Nakusanya ushahidi wa watu ambao kwa kutumia fursa ya simbankin oesa zao zimepotea hasa PALE UNAPOAMBIWA UJUMBE WAKO UMETUMWA halafu huoni matokeo naandika kwa sababu imeshanitokea mara kama tano...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Katika kuwatambua kisheria wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga nchini, Serikali inapaswa kuwabaini, kuwasajili katika mfumo sahihi wa kodi hivyo kupelekea wamachinga kulimbikiziwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza...ninataka kuanzisha project fulani hivi ambayo bajeti yake ni zaidi ya m17....hivyo nilikuwa nahitaji kukopa zaidi ya milioni 25....security pekee niliyonayo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wasalaam wakuu. Niwape pole na majukumu ya kipindi hiki cha siku kuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ninahitaji kununua mashamba mkoa wa Morogoro kwa bei ndogo wa lengo la kuendeleza...
1 Reactions
35 Replies
9K Views
Leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam hisa za Bank ya NMB zimeporomoka Bei kutoka Sh. 2,750p hadi sh.2,340p mdondokeo Mkubwa zaidi wa Pua (Nose dive). Wale wafuatiliaji wa Mambo ya Hisa...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Wadau mi naomba kutolewa japo format ya mahesabu ya mwaka yanayo enda tra..ili kukatwa kodo..na je ni vitabu gani tra wakija ofcn huwa wanavikagua...naombeni msàada
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Anakaribishwa yeyote anayehitaji mlango / milango ya kupanga katika fremu zilizopo King'azi (Maramba Mawili uelekeo wa barabara ya kwenda Kinyerezi). Fremu hizi zipo barabarani na ni eneo ambalo...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Habarini wana JF wenzangu, Naombeni msaada Nataka kuagiza vitu kutoka nje lakini vije kupitia ndege. Je kuna yoyote anajua anifahamishe utaratibu? Natanguliza shukrani Asante
0 Reactions
2 Replies
3K Views
jamani Kwa upande wng naona kama awa jamaa wanakosea katika ukusanyaji wao wa kodi na kumkadilia mfanya biashara Kwa maana makadilio yako wamesha yapanga na kuuliza mauzo ya mlipa kodi ni kumtoa...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Hellow! Naomba msaada wenu nataka niwe naagizia lipsticks then niwe naziuza hapa dar.Naombeni ushauri kwa wenye experience
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Salamu wakuu,naomba kufahamishwa bei ya gunia la vitunguu kwa sasa shambani na sokoni (K'koo).Ahsanteni sana
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kutokana na ugumu wa maisha na ajira ndo hatuelewi kama zitakuja lini nilipata wazo la kuuza simu yangu pendwa Tecno W3 kwa laki moja na kuamua kufanya hivi; Kama muonavyo hapo...
20 Reactions
112 Replies
11K Views
Back
Top Bottom