X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,114
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza...ninataka kuanzisha project fulani hivi ambayo bajeti yake ni zaidi ya m17....hivyo nilikuwa nahitaji kukopa zaidi ya milioni 25....security pekee niliyonayo ni kiwanja je...hakuna benki inayoweza kunipa mkopo huo...wa m25...kwa amana ya kiwanja...?