- Mirinda siyo kampuni bali ni Trademark ya PepsiCo, Je, nikisema nisajili kampuni yangu kwa jina Mirinda ni kosa kisheria ?
- Na je, kilichosajiliwa ni Neno MIRINDA au Logo yake au hakuna...
Habari zenu wapambanaji wenzangu.
Kwa Leo ninayo machache juu ya mambo ya hisa za vodacom.
Tunajua ni jinsi gani zilipigiwa upatu kuwa biashara itakayokuja kututoa kimasomaso lakini kwa sasa...
Picha ambayo watu wengi ambao hawapo kwenye biashara wanayo kuhusu biashara ni kwamba biashara ni sehemu ya kufaidika wakati wengine wanaumia. Huwa wanafikiri kwamba kwenye biashara unahitaji...
Vodacom M-Pawa wamekuwa wakifanya vizuri juu ya mikopo kwa wateja wao ila kwa sasa hyo huduma imekosekana kwa baadhi ya wateja au labda sjui kama ni wote mikopo haitoki na baadhi tumesha jazà na...
Wana JF habarini
Naombeni msaada wakuu nahitaji mkopo bank kwa kuweka bond kiwanja changu hekari 2 ambacho hakina hati miliki nilikinunua tu kawaida kwa kupata barua za Mwenyekiti wa serikali ya...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nauliza kama una basi moja la yutong linaenda safari za dar to songea faida yake kwa siku ni shilingi ngapi ukitoa pesa ya mafuta na matumizi mengine...
Serikali imeonyesha kufaulu kwenye kuidhibiti dola ya marekani lakini tunaona uchawi wetu wa kiafrika bado upo. Kuna taasisi nchini tena wapo chini ya serikali bado wana rate kwa dola na wana...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
On September 18 and 19, this pair made a faint bullish attempt, only to come down on September 20 (and then went...
Shida inayo tukabili wengi sio kukosa Idea bali ni je hiyo Idea unaitekeleza vipi?
Idea zote ni nzuri iwe ni kufuga Nguruwe, iwe ni kuchoma.mahindi, iwe ni kuuza maji Barabarani, iwe ni kuwa na...
Moja ya kanuni kubwa ya kimafanikio ambayo unatakiwa kuanza kuitumia ni KUKATAA KUTOA SABABU YOYOTE. Kama kuna kitu unakifanya, kifanye. Kama kuna kitu umeshindwa kukifanya huna haja ya kuendelea...
Habar ! Ninajishughulisha na uuzaji wa dawa za asili. Naomba ushauri namna ya kuiboresha biasbara ya dawa za asili hasa katika vifungashio (package) na uhifadhi ama usindikaji kwa wanaofaham zaidi
Habari wana JF.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Lengo kuu la kuanzisha Uzi huu nikuomba ushauri na elimu juu ya mradi huu wa...
Nina Mchangamanuo wa Kibiashara ambao umekwisha shinda kumi-bora katika mashindano matatu tofauti ya kitaifa. Japo mtaji unaohitajika si mkubwa, lakini umeshindikana kupatikana kupitia Benki. Hii...
Wakuu habari za weekend naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha ulizo langu
Kuna site hii jmoney.site hii site inamatangazo ambapo ukiingiza code flani wanazokupa wabakulipa mpaka sasa...
natafuta kampuni,credit one ambayo naweza kukopa kupitia mfumo wa kuacha atm card ya akaunti ya mshahara.kwa maana hicho ndicho nilichonacho.sifa zingine kibenki sina.nipo dar
Wakuu naomba wenye fursa mbali mbali za biashara mzitoe hapa na jinsi gani ya kuzifanikisha.
Toa fursa ukizingatia mtaji wa kuanzia million 1-5
Asanten#
1. Think & Grow Rich by Napoleon Hill
A must for anyone wanting to improve their lives and their positive thinking. There have been more millionaires and indeed, billionaires, who have made their...
Vitabu madhubuti na makini sana kwa ajili ya matengenezo ya afya yako, afya mkeo na afya ya Mtoto tangu akiwa tumbon mpaka anazaliwa, kwa bei nzuri.
Tupo dar Es salaam, Dodoma, mwanza, Arusha na...
Habari wajasiriamali wenzangu,
Hivi karibuni nafikiria kijiunga na wenzangu katika kuajiri.
Ipo hivi;
Ninunue gari Aina ya Toyota Noah kisha dogo akafanye biashara ya kubeba abiria kutoka...
Habari za majukumu wana Jamvi.
Naomba niulize kwa mwenye kufahamu jinsi ya kuwasiliana na wakala anaetambulika na DSE yaani Dar es Salaam Stock exchange kwa jinsi ya namna ya kununua hisa.
Asanteni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.