Ukinunua kifurushi cha Vodaco mathslani Haliishi bundle 5000 unaambiwa kuwa una dakika 125 Voda-Voda na dakika 10 mitandao yote. Lakini cha ajabu utapiga simu za voda na dakika zitakazotumika ni zile za mitandao mingine tu mpaka wahakikishe zimekwisha halafu ndiyo zile 125 za voda zianze kutumika. Sasa utakapotaka kupiga namba ya mtandao mwingine hutaweza. Wanavyofanya siyo vizuri