jifunze jambo kutoka kwa bosi wa kampuni pendwa duniani ya GOOGLE
1. Sundar Pichai was born in Chennai and his family of four (Pichai, his mother, his father and younger brother) lived in a...
Wenye uzoefu wa namna ya kufanya manunuzi ONLINE (Mtandaoni) naomba tuelekezane hapa. Tujulishane hatua unazotakiwa kuzifanya mwanzo mpaka mwisho kwa kutumia Card hizo.
Pia tujulishane utofauti...
Natamani hii nchi ingekuwa imepimwa asilimia 80 tu suala la kukusanya kodi za majengo viwanja n.k wangekusanya hela nyingi sana. Leo hii ardhi ya Tanzania haijapimwa....
Hivi hatuwezi kujiwekea...
Habari wadau,<br /><br />Huwa nawaza sana kuanzisha NGO lakini shida ni kwamba nashindwa kuelewa namna ambavyo ntaweza kuisaidia jamii nikiwa nimekwisha maliza usajiri wa NGOs sasa sijajua ni...
EITI NOW POINTS FINGER AT ACACIA FOR MISREPORTING COPPER EXPORT PROCEEDS SINCE 2001
Asks ACACIA to be more transparent to Tanzanians
A stop order issued by Tanzania Government on March 3rd 2017...
Wakuu habari za mida hii, poleni na mihangaiko ya kusaka mkate.
Sasa nijikite kwenye mada husika niko kwenye mkakati wa kusajili NGO'S kwa jili ya watoto yatima nina watoto ninaowahudumia kama...
Habari zenu wadau ......
Heri ya mwaka mpyaaaa...
Naomba kujuzwa na mtu mwenye uelewa kuwa wakala wa kuuza kwa jumla product za Azam hasa hasa maji na juisi inahitaji nini na nini na mtaji wa...
Habari wadau..
Nimeguswa sana kupata humu jamvini mentor wa kilimo, ufugaji na sasa forex bwana ontario..Pia kina Makirita amani anatoaga thread nzuri sana humu..
Sio personal wadau ni mimi tu...
Salaam sana wanajf
Naomba msaada wa maelezokuhusu mifuko ya jamiiya LAPF NA PSPF ili niweze kufanya maamuzi katika masuala yafuatayo:
1. Kuna tofauti ipi katika makato na mapato "benefits" kati...
Hit me up, for the best rates for Bid Bonds, Performance bonds and Advance Payment Guarantees for those that tender for government jobs or better yet if you are a Banker in the trade finance...
AUS200
Dominant bias: Bearish
On this market, a bearish signal was generated last month, when the market lost over 23,000 points. This has resulted in a Bearish Confirmation Pattern, as this...
BILA shaka ukiulizwa leo kama unataka kuwa tajiri, jibu lako litakuwa ni NDIYO! Lakini je, tunaelewa maana ya utajiri na namna ya kuwa tajiri? Hili ni swali ambalo majibu yake yanawasumbua wengi...
haiwezekani Nitume Hela Kabla Ya Kupewa Mzingo, Na Mwenye Mzigo Najua Hawezi Kunitumia Bila Ya Kumtumia Hela Kwanza,
Sasa Hapo Nani Aibiwe??? Mi Sina Uhakika Kabisa Na Hizi Biashara Za...
Hi wanabodi hamjambo,
Ndani ya mwezi mmoja toka sahii natarajia kufungua nite club ambayo itatarget watu wa hali ya kati na juu..
Naomba wenye uzoefu wanipe experience yakurun hii biznez, wateja...
Wakuu, Habari,
Leo nlikuwa napitia kwenye Ukuraasa wa Vodacom, nikakuta wameandika mambo mazuri kusu haya mambo ya hisa, nikaona si vibaya kushirikisha.
Hapa chini ndicho walichoandika;
=> Bila...
Habari wadau JF,
Nimefikiria kuanzisha mradi wa kusaga, kukoboa na kupack unga na mchele ili niweze kuuza kwa watumiaji wa maeneo yote. Nilitembelea Supermarket moja nikaona namna vifungashio...
Natafuta mfanyabiashara tushirikiane kwenye bar na restaurant yangu pale daraja la Kigamboni. Imekamilika kwa kiasi cha 85%. Ipo kwenye barabara kuu kama hatua 100 baada ya sehemu ya kulipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.