Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu Wana jamii Forum mimi mjasiliamali na Kuna fursa nimeona nataka niifanyie kazi katika eneo fulani mkoa wa tanga wanapenda sana kutumia sabuni za magadi na majivu ila upatikanaji wake...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Shirika la ndege la Kenya linaungana na South Africa, Ethiopia na Misiri kama sijakosea kupewa kibali cha kuruka kutoka Jomo Kenyata Internationa Airport hadi New York. Hivi vibali huwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waungwana japo tunasimazi lakini lazima maisha yaendelee, nataka kusajiri kampuni hii ni pampja na Kutayarisha company profile, MoU na megine yanayohusiana na haya, mwenye utaalam huu tafadhari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa wakali wa fashion na burudani hawasikiki, imekuwa ghafla nini kiliwapata wadau hapa mjini. - Waliwahi pia kusimamia mpaka wasanii kama kina Baby boy, Dataz, Blue, Steve Ajuaye tafadhali
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Kama kichwa
1 Reactions
3 Replies
2K Views
1.Nyumba iko eneo zuri sana la west chinangali dodoma mjini. 2.Eneo limepimwa,nyumba ina hati 3.Ina vyumba vitano,jiko,sebule,choo na bafu vya ndani 4.ina fensi na eneo kubwa sana la wazi na iko...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Shamanic ya $29 yataifishwa [http Waziri wa Fedha Dakta Philip Mpango leo amekagua shehene ya Alimasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa Dar es salaam iliyofanyiwa makadirio hafifu ikiwa ni nusu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wazir wetu wa kilimo tembelea wakulima wa mahind,ludewa, songea, mbinga, Makambako, sio mnakaa ofisini tuu, tangu mfunge mipaka hakuna soko la mahind, sahiz mahind debe tsh, 3000,5000,kweli hi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji mtu anaweza kunitengenezea Website nzuri anitafute whatsapp 0745444713 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Una nursery yako na unahtaj Teacher mzoefu??? Wapo maticha wazoefu na makini weny sifa na vigezo...... Na primary pia wapo wamemaliza garissa teachers college kenya... Check me 0712770729 au...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Wadau nina taharifa kwamba kuna mpango umeanzishwa na PPF wakishirikiana na TPB kuwezesha wajasiriamali! Wanasema ukiweka akiba ndani ya miezi 6(mchango wa kila mwezi), unaweza kukopa mpaka mara 3...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza zipo jumla lita 2000 yaani dumu 100 za asali mbichi original ya nyuki wakubwa ujazo wa lita 20. Mazungumzo kidogo kwenye bei yapo karibuni. Dar es Salaam pia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
BIASHARA DODOMA Bonyeza hyo link kujiunga na group la biashara dodoma..plz lazima uwe ni mfanyabiashara wa dodoma na mkazi wa DODOMA.
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Jamani wanajamii nataka kuanza biashara ya stationary na kuban cd ni hatua zipi napitia ili niweze kvambulika kisheria.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba wenye utaalamu waku calculate Vat wanisaidie hii hezabu. Nilinunua bidhaa kwa bei ya tsh. 240,000/=(VAT inclusive) VAT = 20% Je ni kiasi gani cha kodi ambacho nimelipa kama...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wandugu, Naomba anayaweza kunipatia LIST OF TANZANIAN BANKS SWIFT CODES tafadhali. Nime google mpaka nimechoka!
0 Reactions
58 Replies
38K Views
Nimekuwa nikiuliza watu wengi maswali kuhusu kujiajiri na kuajiriwa....most of the answers imekuwa kujiajiri ndio "mchongo",sasa mbona sioni jitihada za watu kutaka kujiajiri.....halafu inakuwaje...
7 Reactions
141 Replies
15K Views
Now day kuna motivations stories nyingi sana, Uki google utakutana na stories za kila aina, Kuna hadi Motivation speaker wakina James Mwang'amba na wengineo kila siku utawasikia wapo Holday inn...
13 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom