Maswali yangu Kwa TRA na anayejua utalatibu mzuli wa TRA na ukusanyaji wao wa mapato

kazi kaz

Member
Apr 13, 2017
18
2
jamani Kwa upande wng naona kama awa jamaa wanakosea katika ukusanyaji wao wa kodi na kumkadilia mfanya biashara Kwa maana makadilio yako wamesha yapanga na kuuliza mauzo ya mlipa kodi ni kumtoa akilili mlipa kodi Kwa sababu ukiwatajia mauzo yako wanakubishia utasikia aiwezekani Kwa siku uuze kiasi iko sasa kwann wanapo mkadilia mtu wasiende mbaka eneo usika waangalie mazingira na kingine kwann awaangalii mtaji wa mfanya biashara bali wanacho nakili ni jina la biashara na wakikukadilia mauzo ya siku kama 20000 awajui kama kwenye iyo faida inaweza kuwa kiasi gani na awataki kujua wao wanapiga esabu zao eti ndo wamekukadilia sasa swali language Kwa sisi wafanya biashara wadogo kweli tutafanikiwa Kwa vibiashara vidogo
 
Back
Top Bottom