Msaada kuhusu mahesabu ya mwaka tra na vitabu kaguzi

Wadau mi naomba kutolewa japo format ya mahesabu ya mwaka yanayo enda tra..ili kukatwa kodo..na je ni vitabu gani tra wakija ofcn huwa wanavikagua...naombeni msàada

Hiyo ni Shule ya Miaka mitatu (Accounting) watu wanasomea kuandaa Vitabu Wewe unadhan utaelewa kwa kupewa Format?

Baada ya kuandaliwa hivyo Vitabu inatakiwa vikaguliwe na Mkaguzi wa Hesabu anaetambuliwa na NBAA
 
Fani za watu hizo...kama una kampuni...watafute certified accountants ...wako wengi tu mjini...mtaelewana watakuwa wakikutayarishia bila tatizo..usipate shida kuandaa mwenyewe unless una huo utaalamu
 
Hiyo ni Shule ya Miaka mitatu (Accounting) watu wanasomea kuandaa Vitabu Wewe unadhan utaelewa kwa kupewa Format?

Baada ya kuandaliwa hivyo Vitabu inatakiwa vikaguliwe na Mkaguzi wa Hesabu anaetambuliwa na NBAA
Hahahaha...ila poa niliitaji Tu nitambue kitu...
 
Issue sio format,hata ukitumiwa kama hujasomea accounting bado hutaelewa chochote.
 
Back
Top Bottom