Msaada credit card ya kianzio kidogo

msocial

Member
Dec 16, 2016
78
42
Habarini wadau, naomba msaada ni benki gani inatoa credit card kwa kianzio kidogo mfano TZS50000-200000. niliuliza DTB nikaambiwa laki tano.
 
Watu wanakosea sana Mkuu.ukweli ni debit card.
Wanakose sana, sabab kwa hapa kwetu ni lazima iwe na fedha ndipo uweze kuitumia. kwengineko huko kwa wenzetu hata km haina kitu (balance) bado unaweza kupata huduma, baadae ukiingiza pesa benk husika wanachukua salio lao
 
Wako sahihi sana, sabab kwa hapa kwetu ni lazima iwe na fedha ndipo uweze kuitumia. kwengineko huko kwa wenzetu hata km haina kitu (balance) bado unaweza kupata huduma, baadae ukiingiza pesa benk husika wanachukua salio lao
Mbona km unazungumizia overdraft?
 
Wako sahihi sana, sabab kwa hapa kwetu ni lazima iwe na fedha ndipo uweze kuitumia. kwengineko huko kwa wenzetu hata km haina kitu (balance) bado unaweza kupata huduma, baadae ukiingiza pesa benk husika wanachukua salio lao
A debit card is not a credit card. When you use a debit card, the money is deducted from your checking account. With a credit card, you're borrowing money to be repaid later. ATM and debit cards allow you to use ATMs, a safe and convenient way to manage your money.
Shortly za hapa kwetu sio credit card ni debit card....Nadhani mkuu tupo pamoja.
 
Of course hata mimi najua iko hivi.
 
Kwa wengi ni vigumu kuelewa.ila tafsiri ya kitu haiwezi badilika.credit card inahusika na kununua bidhaa kwa mkopo tu.na debit card unafanya manunuzi kwa kuzingatia cash balance at your bank account or overdraft agreement ambayo imekuwa inserted ktk A/C yako ya bank husika
 
Wanakose sana, sabab kwa hapa kwetu ni lazima iwe na fedha ndipo uweze kuitumia. kwengineko huko kwa wenzetu hata km haina kitu (balance) bado unaweza kupata huduma, baadae ukiingiza pesa benk husika wanachukua salio lao
Mkuu yawezekana wewe ndio umeteleza vizuri. Tofauti ya credit card na debit card inaeleweka. ATM card zinazotolewa na benki karibia zote nchini ni debit card. Ila yapo mabenki kadha ambayo yanatoa zote mbili..yaani debit card na credit card. Benki ambazo najua wanatoa credit card ni Exim Bank na CBA. Napata mshangao kidogo ninapoona unasema huduma ya credit card ipo "kwengineko huko kwa wenzetu" tu.
 
Nenda I & M Bank pale posta maktaba house nadhani, upate MasterCard au visa card wala haina hata usumbufu
 
Mkuu yawezekana wewe ndio umeteleza vizuri. Tofauti ya credit card na debit card inaeleweka. ATM card zinazotolewa na benki karibia zote nchini ni debit card. Ila yapo mabenki kadha ambayo yanatoa zote mbili..yaani debit card na credit card. Benki ambazo najua wanatoa credit card ni Exim Bank na CBA. Napata mshangao kidogo ninapoona unasema huduma ya credit card ipo "kwengineko huko kwa wenzetu" tu.
Nami najua hivi.Tatizo watu wanaponzwa na maneno ya vijiweni
 
Kwa wengi ni vigumu kuelewa.ila tafsiri ya kitu haiwezi badilika.credit card inahusika na kununua bidhaa kwa mkopo tu.na debit card unafanya manunuzi kwa kuzingatia cash balance at your bank account or overdraft agreement ambayo imekuwa inserted ktk A/C yako ya bank husika
Hata mimi kutumia elimu yangu ya book keeping ya form two. Naelewa ni hivyo.
 
Back
Top Bottom