Madalali bora katika soko la hisa

Nov 29, 2016
21
7
Ndugu,

naomba kufahamu juu ya hawa madalali wa Hisa. Nahitaji kuwekeza katika soko la Hisa. Information zote nimefuatilia na mpaka sasa nimebakiza hii moja. Ni company gan inasifa nzuri kati ya company zote zinazojihusisha na udalali wa Hisa maana katika orodha nimeona company zaidi ya 10.

Sasa nashindwa niende wapi kwa kuchukulia Hisa zangu.
 
Ndugu naomba kufahamu juu ya hawa madalali wa Hisa. Nahitaji kuwekeza katika soko la Hisa. Information zote nimefuatilia na mpaka sasa nimebakiza hii moja. Ni company gan inasifa nzuri kati ya company zote zinazojihusisha na udalali wa Hisa maana katika orodha nimeona company zaidi ya 10. Sasa nashindwa niende wapi kwa kuchukulia Hisa zangu.
Nakushauri uende kwa RASILIMALI LTD wapo mkabala na Benki ya Mkombozi Jengo la Samora Tower ghorofa ya 7. Hao kwa maoni yangu watakufaa. Unaweza kuwasiliana nao na ukanunua On line. Barikiwa
 
Nakushauri uende kwa RASILIMALI LTD wapo mkabala na Benki ya Mkombozi Jengo la Samora Tower ghorofa ya 7. Hao kwa maoni yangu watakufaa. Unaweza kuwasiliana nao na ukanunua On line. Barikiwa
Shukran san.
Naomba unijuze kitu kingine kama utakua na ufaham nacho. Kwa mfano nikachkua shares kupitia wao halaf kwa bahat mbaya ikatokea wakayumba na kufunga compny yao. Je naweza kuuza share zangu kupitia hao madalali wengine?
 
wale ni agent tu hawahusiani na uendeshaji wa kampuni so ukishanunua wale ni kama kiunganishi kati na ww na kampuni unayotaka nunua hisa.
 
Shukran san.
Naomba unijuze kitu kingine kama utakua na ufaham nacho. Kwa mfano nikachkua shares kupitia wao halaf kwa bahat mbaya ikatokea wakayumba na kufunga compny yao. Je naweza kuuza share zangu kupitia hao madalali wengine?
Kwanza hao Rasilimali LTD ni kampuni dada ya Benki ya Rasilimali ambayo ni ya Serikali hivyo kufilisika si rahisi na kinachofanyika wao ni wakala wa kuuza na kununua Hisa mbalimbali na wakati wa kuuza hukata asilimia mbili kwa ajili ya kuendesha ofisi hivyo kwa wao kufilisika si rahisi kwa kuwa wao wana hudumia wateja wanaokwenda kwao kununua na kuuza HISA. Hata hivyo ni vyema kufanya biashara na wakala wa Serikali ni salama zaidi.
 
Nashkur San kiongoz.. Be blessed
 
Nilienda Kuuza hisa zangu 1000 wao wakauza zote 36000 na kila kitu kilinda documented
Aiseee basi wanafanana na orbit, pale orbit kuna kipindi nilienda kununua hisa kiasi flan wao wakauza badala ya kununua halafu wakanunua mara mbili ili kufidia walizouza na zile nilizotaka kununua, yana wanaforce wapate commission kubwa
 
Back
Top Bottom