kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,870
- 7,752
CRDB divident per share shs 10. huku benki ni ya pili kwa ukubwa
nchini. TOL ndio usiseme. tangu waingie DSE kwa prospectus ya kubuni hawajawahi kutoa gawio la hisa. wakurugenzi na management ndio wananawiri huku ukurugenzi wanapokezana wenyewe kwa kujuana. AGM zinapangwa kwa kushtukiza unastukia ishapita. financial reports huwezi pata kwenye mtandao. recently wanadai wanafanya vizuri lakini gawio hawatoi.