Nataka kuanzisha biashara ya lipstick, naomba ushauri

Curious gal

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
3,200
4,005
Hellow!
Naomba msaada wenu nataka niwe naagizia lipsticks then niwe naziuza hapa dar.Naombeni ushauri kwa wenye experience
 
Huwa ni wajuaji tu lakini mnapokosa mwanaume wa kuwa naye karibu hata uwezo wenu wa kufikiri huwa unakuwa mdogo sana!
Tafuta kwanza wa kuamka naye asubuhi akili ikukae sawa.
 
Firstly, you have to sell something you are familiar with.

Do you use lippies? Do you know the types of lippies? Creamy, Matte etc?

Do you know which colors suit what complexions?

I think you have an idea now.

Make sure you sell something nice and the customers will stay loyal.
 
Fanya mpz mim pia ntakuchangia achana nao wanaoropoka km wamekatika kichwa
 
Firstly, you have to sell something you are familiar with.

Do you use lippies? Do you know the types of lippies? Creamy, Matte etc?

Do you know which colors suit what complexions?

I think you have an idea now.

Make sure you sell something nice and the customers will stay loyal.
Am familiar with it.......tatizo je nikileta nifanyaje niweze kupata wateja
 
Am familiar with it.......tatizo je nikileta nifanyaje niweze kupata wateja

Anza na Instagram page yako au marafiki zako wa karibu,..biashara Kama izi zinaitaj network,so tool yako kubwa must be WOM watu wakujue wawambie wenzao,taratibu utafanikiwa kila LA heri,
 
Jitahidi bei iendane na quality na hapa mwanzo usilenge sana kupata faida jijengee wateja ambao wataridhika na bidhaa zako hao ndio watakusaidia baadae.

Leta brands tofauti tofauti na bei tofauti maana sio kila mtu anaeza kupaka MAC and the likes..

Wateja wengi wapo huko insta na and fb.

All the best
 
Asante sana love
 
Back
Top Bottom