- Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaHabarini wana Jf wenzangu
Naombeni msaada
Nataka kuagiza vitu kutoka nje.lakini vije kupitia ndege.
Je kuna yoyote anajua anifahamishe utaratibu?
Natanguliza shukrani
Asante
- je kutoka nchi gani?Nataka kuagiza vitu kutoka nje.lakini vije kupitia ndege.