ningependa kupata katika wilaya yoyote, kuhusu mazao nitalima kulingana na kinachokubali zaidi katika eneo husikaMkoa wa Morogoro ni mkubwa sana.....unapendelea wilaya gani!Lakini pia malengo yako ni kutaka kulima mazao gani ili iwe rahisi kushauriwa!
Njoo wilaya ya mvomero, pande za kata ya mzumbe, sehem inaitwa lubungo, utapata mashamba hata laki 2 kwa eka,
Ukidevelop facilities km kisma na pump utalima any horticultural crop Km sweet corn, orange sweet potato, tomato any variety, sweet pepper, onion na vegetables zote za tropical na sub tropical, na utapga hela nzur kuliko hata mshara wako.
Karibu Morogoro.
asante sana mkuu, mchango wako unanitia moyo. Naomba kupata mawasiliano yako kama upo maeneo ya huko mvomero ili unisaidie kufanikisha ununuzi wa mashamba nianze kilimo mwakani rasmi.Njoo wilaya ya mvomero, pande za kata ya mzumbe, sehem inaitwa lubungo, utapata mashamba hata laki 2 kwa eka,
Ukidevelop facilities km kisma na pump utalima any horticultural crop Km sweet corn, orange sweet potato, tomato any variety, sweet pepper, onion na vegetables zote za tropical na sub tropical, na utapga hela nzur kuliko hata mshara wako.
Karibu Morogoro.
-->anayefikiria kulima Moro anaakili sana maana ni rahisi kuyafikisha mazao dar...
*pia upon Uzi huku wa mashamba utafute mkuu.
asante sana mkuu, naomba link ya huo uzi nipate taarifa zaidi-->anayefikiria kulima Moro anaakili sana maana ni rahisi kuyafikisha mazao dar...
*pia upon Uzi huku wa mashamba utafute mkuu.
okay nalifanyia kazi mkuurekebisha heading
mashamba ya kununa
asante nitakutafutaKaribu ,kuna eka 50 zinauzwa mvomero nyuma ya ofisi za wilaya ya mvomero ni eneo zuri waweza lima tikiti, maharage mahindi miti nk 0783 656554
Njoo wilaya ya mvomero, pande za kata ya mzumbe, sehem inaitwa lubungo, utapata mashamba hata laki 2 kwa eka,
Ukidevelop facilities km kisma na pump utalima any horticultural crop Km sweet corn, orange sweet potato, tomato any variety, sweet pepper, onion na vegetables zote za tropical na sub tropical, na utapga hela nzur kuliko hata mshara wako.
Karibu Morogoro.
nimeupata ushauti wako mkuu, naomba uniasaidie kuniunganisha na wenyeje wa maeneo ya huko ulipotaja ili nipate mashamba mazuri yasiyo na migogoroVizuri ukamtaadhalisha pia na vurugu za wafugaji....huko Lubungo si ndiko aliuawa mkulima na wafugaji wa jamii ya kisamai mwaka huu???...Mpe mwenzio tahadhali zote akija ajue kabisa....kwa wilaya ya mvomero bora ungemshauri aende maeneo ya Kanga,Mziha au Kibati,ardhi ni nzuri na yenye rutuba lakini pia hakuna migogoro na wafugaji kama hapo Lubungo,Dakawa na maeneo ya karibu!
Bei? kabla sijakupigia..?Karibu ,kuna eka 50 zinauzwa mvomero nyuma ya ofisi za wilaya ya mvomero ni eneo zuri waweza lima tikiti, maharage mahindi miti nk 0783 656554
nimeupata ushauti wako mkuu, naomba uniasaidie kuniunganisha na wenyeje wa maeneo ya huko ulipotaja ili nipate mashamba mazuri yasiyo na migogoro