Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

The problem of trading in uncertain times crept up on the Mentor Program Alumni forum and I have been thinking about my answer. The original answer I gave is shown below – I think one of the...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
Binafsi napenda sana jitihada za Waziri wetu Lukuvi ambaye amekuwa kati ya mawaziri wachapa kazi. Hata hivyo sikubaliani kabisa na hii kauli yake ya kupima ardhi nchi nzima. Kimsingi hii nchi ina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajaii nimekuja kwenu kwa heshima zote kwa kuwa nyinyi ni wajuzi wa hili ninalotaka kuuliza ndugu zangu ipi fauda ya kuwa Na akaunti ya dola? Na je mtu mwenye kipato Kidogo Kama laki...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wapambanaji wenzangu, naomba mnijuze kama BRELA wana tawi huku ili nifike mara moja nikafanye usajili. Kuna kipindi nilisikia wanafungua matawi mikoa mingine mbali na DSM, je kwa huku Arusha vip,wapo?
0 Reactions
9 Replies
8K Views
An underwater tunnel connecting Tanzania mainland to Tanzania Zanzibar is in the offing. The tunnel, which is scheduled to be operational come 2030, will carry high speed passenger trains...
7 Reactions
19 Replies
6K Views
Leo katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na kitu ambacho ki naweza kuwa chanzo cha kujipatia kipato kwa vijana, kwa kutumia matairi ya gari yaliyomaliza muda wake kwa kutengeza vitu vifuatavyo Kwa...
3 Reactions
8 Replies
10K Views
Naomba msaada jinsi ya kupata mashine ya EFD kwa sisi tulioko Mikoani. Nina photocopier kuna kazi za shule wanadai uwe na EFD
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesaini mkataba wa ushirikiano na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kwa ajili ya kuhamasisha na kuelimisha umma kuhusu masuala ya...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Matajiri wakubwa nchini ambao ni Rostam Azizi, Regnald Mengi, Mo na Bakhresa, katika kusoma historia ya maisha yao na jinsi walivyoanza kutajirika naelekea kuvutiwa zaidi na huyu Bakhresa ambaye...
4 Reactions
10 Replies
25K Views
Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji, na wengineo wote wataoina fursa hii, katika uwekezaji wa kati ambao unatarajiwa kuwa mkubwa sana kwa kipindi kifupi sana...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Nina ndugu yangu ana duka la rejareja kakosea risiti ya EFD badala ya 3,000 imetoka ya 3,000,000,000 (billioni 3!):D Kwa anayejua utaratibu wa kusahihisha au kuripoti makosa naomba anisaidie...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Douglas Lake Acquires 100% Interest in 4 New Properties Bordering Canaco in the Handeni District VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA--(Marketwire - Sept. 22, 2010) Douglas Lake Minerals Inc. (the...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
nauliza in taasisi gani inayoweza kutoa mkopo was GARI kwa MTU aliyeajiriwa taasisi binafsi,Niko mbeya.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Marejesho ni maelewano hasa riba
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau, Mimi napenda kufahamishwa kuhusu hii biashara ya kucharge fedha mpani yaani kuuza fedha kwa watu wanaoingia border ya nchi nyingine kama Tanzania na Uganda. Ni nini faida na changamoto...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu kwa anayefahamu wapi naweza kupata mashine ya umeme ya kutengenezea mkaa mbadala (briquette making machine), maana nilienda pale ARTI Energy dar lakini zimeisha wanasema mpaka mwezi wa nane...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair consolidated last week, moving between the resistance line at 1.1250 and the support line at 1.1150. The...
2 Reactions
0 Replies
400 Views
Wakuu habari za saivi, Rejea mada tajwa hapo juu, Nimekuwa nikifatilia mkopo wa bank kama mil.30 lakini nashangaa process ni nyingi sana kiasi ambacho imechukua karibia nusu mwezi (wiki mbili...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwenyekufahamu wakuu
0 Reactions
5 Replies
913 Views
Gas discoveries in east Africa Feb 7th 2013, 17:34 by V.R. | LONDON IT HAS been an astonishing past year for gas discoveries in east Africa. Large finds off the coasts of Mozambique and...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom