Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Nakusanya ushahidi wa watu ambao kwa kutumia fursa ya simbankin oesa zao zimepotea hasa PALE UNAPOAMBIWA UJUMBE WAKO UMETUMWA halafu huoni matokeo
naandika kwa sababu imeshanitokea mara kama tano hivi na ukijaribu kuuliza wahusika wanakua wakali wao tena
ni nafuu lkn kama inakuja na ukandamizaji TUNAHITAJI TAFAKURI MPYA