Spare za Hyundai na Honda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spare za Hyundai na Honda

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by everybody, Aug 7, 2011.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Naona bei za magari ya Toyota siku hizi zimepanda bei huku UK sasa nafikiria kununua walau Hyundai au Honda naona afadhali kidogo. Je spare za Hyundai na Honda zinapatikana Dar jamani? Noamba ushauri hapa.

  Thanks.
   
 2. M

  MR UNINFORMED JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2017
  Joined: Sep 8, 2013
  Messages: 757
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 180
  Chief hiv ulishawah kupata jibu la swali lako hili?! Hasa kwenye hyundai hapo?!
   
 3. dyuteromaikota

  dyuteromaikota JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2017
  Joined: Apr 30, 2013
  Messages: 3,195
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Siku hizi utandawazi hata usipopata dar unaagiza nje wiki moja spare imefika
   
 4. M

  MR UNINFORMED JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2017
  Joined: Sep 8, 2013
  Messages: 757
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 180
  Ni kweli chief...ila kwa zile spare parts za kawaida tu especially kwa regular services....zinapatikana mitaa gan dsm?!

  Asante.
   
 5. dyuteromaikota

  dyuteromaikota JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2017
  Joined: Apr 30, 2013
  Messages: 3,195
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  K' koo Mnadani, ilala shauri moyo, wanakokata magari kama mabibo na njia ya tandale, kisangani, abc etc
   
 6. balili

  balili JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2017
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Hyundai usijidanganye babu hata ukipata ajari ukiwa na bima kubwa hupati gereji na ukiipeleka kwa wakala wa hyundai bei yake mtashindwana na bima naongea hivyo kwa hua nilikua na Santa fee nikapiga nayo mzinga imenisumbua mwaka mzima kupata Spea ilibidi kuwatumia vijana wa kibongo mafundi pale hyundai wakawa wanaiba Spea kidogo kidogo wanafunga tukagawana nao pesa niliyolipwa na bima gari ilivyopona tu nilitafuta mteja fasta sitaki tena kusikia hyundai upuuzi mtupu ukiwa nayo tz,sikushauri
   
 7. M

  MR UNINFORMED JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2017
  Joined: Sep 8, 2013
  Messages: 757
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 180
  Pole sana chief! Kweli hyo ni experience mbaya. Lakin kwa ujumla wake unaonaje ubora wake....ukiachana na issues za spear parts.
   
 8. balili

  balili JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2017
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Ni gari imara but kua tayali kwa fuel consumption kubwa na foleni zetu za hapa Dar hatari bro
   
 9. R

  Renegade JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2017
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,765
  Likes Received: 1,068
  Trophy Points: 280
  Mkuu salaam naomba kujua juu ya huimara wa hii gari kwa kweli nimeipenda, hasa kwa kuwa ni Diesel embu nipe uzoefu wako.
   
Loading...