Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam hisa za Bank ya NMB zimeporomoka Bei kutoka Sh. 2,750p hadi sh.2,340p mdondokeo Mkubwa zaidi wa Pua (Nose dive).
Wale wafuatiliaji wa Mambo ya Hisa mnaelewa kuwa mdondoko huu wa 15% ni Significant mpaka Sasa sijaona taarifa ya NMB kwa wanahisa.
Yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze sioni Bei ya hisa zake ikirudi haraka kwa haraka. Hisa Za NMB zilishawahi Kuuzwa sh.4,500p