JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wadau kesho siku ya ofisi, ktkt ya wiki j5.. Hebu punguzeni kuchati then tupumzike. Naitaji faraja toka kwa binti mmoja toka hapa jamvini, MMU! Hebu nichagulieni kifaa chakuendana nami (cheki avatar)!
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna mchaga alienda kwenye mgahawa kupata msosi wa mchana alipoulizwa aletewe chakula gani? akasema minataka machalari(ndizi) kilipoletwa akaanza kufakamia haraka avikupita hata vijiko vitatu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1)Jamaa mmoja alikwenda hospitali akiwa anaumwa baada ya kupimwa na dokta akaambiwa anaumwa kiharusi jamaa akapata nafuu ghafla na kumpa dokta mkono akamwambia "ndo maana ninahamu sana ya kufunga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nigerian man called his mom from the USA . Man : Mom, I have AIDsoo. Mother: My son I beg, I beg I begoo, don't come back homeoo! Man : Why mom ? Mother: If you come back...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nataka tu kujua marital status ya mbunge wangu shupavu. Zitto Zuberi Kabwe. amani kwenyu. Nabii
0 Reactions
19 Replies
4K Views
NATAMANI NGUMI ZIPIGWE BUNGENI,KUNA WABUNGE W MAGAMBA WANAONGEA UPUPU NINGEKUWA MJENGONI KWA KWELI NINGESHAWASHA MOTO 2015 MTAoNA NITAKAPOKUWA MJENGONI NITAWAFUNDISHA ADABU WEZI NA WANYANGANYI...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, washindi wa ubingwa wa futbol kwa watoto wa miaka 11, wameamua kukabidhi kombe kwa washindani wao ambao kwa kauli moja wamekubali kuwa washindani wao walistahiki...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Ivi kwanini watu huo wanahangaika kuandaa sherehe kuubwa ya kuziliwa afu hawasemi wametimiza miaka mingapi? Hofu yao ipo wapi? kama unaogopa kuonekana kikongwe, kwanini ufanye sherehe? Ivi kama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kitu gani kinawekwa mezani, kinakatwa, kinaliwa, kinarambwa/kinalambwa na kinakombwa lakini hakiingizwi mdomoni?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Jamani wana jamvi habari za asubuhi? natumaini hamjambo na mnaendeleza taifa ili tufikie miaka 100 ya uhuru tukiwa angalau mgao wa umeme umepungua ama kufikia siku 2 kwa week ama mwezi. Leo...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Mwalimu aliingia darasa la 3 na kuwataka wanafunzi wachore mti una ndege amekaa juu na akawapa muda wa dkk 10, zilipotimia dkk 10 mwl akapiga makofi kuashiria muda umekwisha, akazunguka kuangalia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HOME INTERNAL MEMO FROM: Father TO: ALL DEPENDANTS AND RELATIVES CC: MOTHER BCC: Girl friend SUBJECT: FINANCIAL MELTDOWN/COST CUTTING MEASURES FOR YOUR URGENT ATTENTION. 1. Due to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijui kama hii imeshakuja hapa. Ikiwa tayari puuza. Mama Sara ana watoto wanne wanne wote wasichana: Mnana, Mnene, Mnini na ....... (Taja jina la msichana wa nne).
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna barua muhimu sana ya kijeshi inatakiwa kusafirishwa toka mji A kwendja mji B.mji A kuna kituo cha mafuta chenye mafuta ya kutosha lakini barabara nzima inayounga mji A na B hakuna kituo cha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
teja alikuwa anvuta bangi,akasikia sauti ya ajabu akauliza wewe nani?akajibiwa ni mimi izrael mtoa roho!teja akajibu:"dah umenistua kishenzi mwana,mi nilijua polisi"
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijana wa Uru (Moshi) aliyekuwa pickpocket mzuri tu mjini Moshi aakaamua kubadili kazi na kuwa Jambazi wa kutmia silaha. Muda si muda akakamtwa kwenye tukio na wananchi wenye hasira kali wakampa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna barua muhimu ya kijeshi inabidi ipelekwe mji B kutoka mji A.Kati ya mji A na mji B hakuna kituo cha mafuta.Gari iliyopo ikijazwa 'full tank',ina uwezo kusafiri nusu ya umbali kati ya A na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
A lady sat on my LAPTOP, I laid her on my DESKTOP to RAM my HARDWARE into her SOFTWARE! After lots of INPUTS and OUTPUTS, I finally DOWNLOADED. Now I'm a FLOPPY DICK!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa alikolewa na ganja maeneo ya Kibaha, akaendesha gari kwa speed kubwa sana, akiwa njiani akawasha redio ikasadifu ni BBC idhaa ya kiswahili ikisema HAPA NI LONDON, basi jamaa akajisifu "...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom