Usiku mwema bhaaaaanaa... Leo punguzini chating and commenting!

Usiku mwema bhaaaaanaa... Leo punguzini chating and commenting!

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
811
wadau kesho siku ya ofisi, ktkt ya wiki j5.. Hebu punguzeni kuchati then tupumzike. Naitaji faraja toka kwa binti mmoja toka hapa jamvini, MMU! Hebu nichagulieni kifaa chakuendana nami (cheki avatar)!
 
avatar16123_35.gif
 
Hahahhah...broh PJ mimi kwa huyu hata nipelekwe kwa fimbo siendi!!
Mmh! Lizzy unachezea shiling ktk tundu la choo, kweli Klorokwin kakuendea kwa sangoma duh!
 
Hata nikiwa na ugomvi nae siwezi....pole kwakukosa hata huyo wa kukupa mgongo ehhhhh...!
Kweli niko mpweke bt mkono wangu wa kushoto hauniangushi... lol teh!
 
Wifi,huyu sio kaloweka kweli? manake kufulia nayo ni hatua ya kuanika! eeh,ngoja ninyooshe mbavu mie!
Hhahahaha...wifi bana!!Huyu kafulia tayari...angekua kaloweka angalau angekua na matumaini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom