Utendaji wa Jeshi la Polisi Nchini Ukoje?

Wanafanya kazi nzuri sana, tumeona wakidhibiti fujo za CDM kule Arusha, tumeona wakimlaza sentro Mwenyekiti wa cdm na kumfikisha mahakamani 750Km away on time. Wanastahili sifa kwa hayo.

There is a big room for improvement, no doubt. Saidi Mwema analibadili kidogo kidogo, si kama lilivyokuwa wakati wa nyerere na mkapa.
 
Brother wewe bachelor nini? Hivi kweli unaweza kuja na swali la kitoto kama hili? Wakati huu uliopoteza si ungeutumia kuwasaidia watoto kuamliza homework zao?

Yeye mwenyewe h'work hajafanya....lol
 
Wanafanya kazi nzuri sana, tumeona wakidhibiti fujo za CDM kule Arusha, tumeona wakimlaza sentro Mwenyekiti wa cdm na kumfikisha mahakamani 750Km away on time. Wanastahili sifa kwa hayo.

There is a big room for improvement, no doubt. Saidi Mwema analibadili kidogo kidogo, si kama lilivyokuwa wakati wa nyerere na mkapa.

Unawashwaga na CDM wewe?
 
utendaji kwenye nini? rushwa? kushilikiana na majambazi AU kuwalinda mafisadi
 
Fox hicho mbona ni kiswahili cha kawaida sana! Anasema 'CDM huwa inakuwasha'! Na ninakubaliana nae.

Anhaaaa, hodari kweli huyo wa kujuwa mambo, hata na mie nakubaliana nae nakubaliana nawe pia, yaani inaniwasha kama pilipili hoho mpaka inanikereketa haswaa.
 
Anyway kusaidia kupata hoja zaidi ya jeshi letu labda tujiullize maswali haya
  1. Organisation Structure ya Jeshi letu la polisi ikoje na decison making ikoje.-

  • Kuna vitengo/ idara ngapi makau makuu mikoani na wilayani
  • Majukumu na mipaka ya utendaji eg kati ya RPC, IGP na yule wa wilayani sijui wanaitwaje
  • Kuna idadi ya askari polisi wangapi? vituo vingapi
  • Polisi imeji regsiter matukio ya uhalifu mangapi na imeyagawanyaje.( Ugomvi. Ujambazi., Wizi, Rushwa, Mauaji etc)
  • Je ni wakati gani kila mwaka polisi mikoni, wilayani au makao huwa wnatoa ripoti ya ku tathmini utendaji wao
I think kama Polisi ingetaka kuwa karibu zaidi na wanachi ingetakiwa kutoa seasonal rerpot katika level ya chini kwenye vitongoji. Mfano ni wilaya gani ina matukio mengi ya ujambazi, Ni wilaya gani iko peadeful zaidi. Ni matukio gani aidi yanauwa reprted na wanancchi kwenye vitu vya polisi?

2. career
  • Je jeshi letu na watu i mean wataalam wa kuchunguza nakuzuia mambo ya financial, ICT, social etc
 
Wanafanya kazi nzuri sana, tumeona wakidhibiti fujo za CDM kule Arusha, tumeona wakimlaza sentro Mwenyekiti wa cdm na kumfikisha mahakamani 750Km away on time. Wanastahili sifa kwa hayo.There is a big room for improvement, no doubt. Saidi Mwema analibadili kidogo kidogo, si kama lilivyokuwa wakati wa nyerere na mkapa.
Nyerere na Mkapa hawajawahi kuwa IGPs kwa hiyo huwezi kulinganisha utendaji wao na IGP said mwema, it's absolutely irrelevant! be honest as well as logical by comparing the image of tz police force under former IGP omar mahita to that of the incumbent IGP said mwema.
 
Wanafanya kazi nzuri sana, tumeona wakidhibiti fujo za CDM kule Arusha, tumeona wakimlaza sentro Mwenyekiti wa cdm na kumfikisha mahakamani 750Km away on time. Wanastahili sifa kwa hayo.

There is a big room for improvement, no doubt. Saidi Mwema analibadili kidogo kidogo, si kama lilivyokuwa wakati wa nyerere na mkapa.
umesahau cuf kule zanzibar 2000-2001
 
Tusizunguke, kwa ujumla utendaji wa jeshi la polisi upo chini ya kiwango, yaani hauridhishi kabisa. Polisi wamegeuka kuwa kero badala ya msaada kwa wananchi, akili zao zote zipo kwenye rushwa. Nafikiri mafunzo wanayopata vyuoni kwao ni duni, na pia malahi yao duni na makazi mabaya huenda yanachangia utendaji wao kuwa mbaya. Kwa kweli kuna haja ya serikali kubuni mbinu za kuboresha utendaji wa polisi ikiwa ni pamoja na kuboresha mafunzo yao.
 
Back
Top Bottom