Mchaga wa Uru!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Kijana wa Uru (Moshi) aliyekuwa pickpocket mzuri tu mjini Moshi aakaamua kubadili kazi na kuwa Jambazi wa kutmia silaha.
Muda si muda akakamtwa kwenye tukio na wananchi wenye hasira kali wakampa kisago kikali lakini akasurvive.
Sikia baba mtu:
"I see , I see. Kiru, huyu Kishimindu kaleta? ....kaleta balaa kweli"
Wazee wenziwe wakauliza kwa nini
akawajibu
"Kishimundu kaacha kazi yake nzuri tu ya poketi, yenye kipato kizuri, akaansa ujambasi"
"Ona sasa amekamatwa"
Wazee wale wakakubaliana naye.
 
Back
Top Bottom