Habari zenu wana JF?
Kesho ijumaa msanii kutoka Jamaica anayeishi nchini Marekani atakuwa akitumbuiza katika visiwani Zanzibar katika Ukumbi wa Ngome Kongwe, kwa Member yoyote ambaye atakuwepo...
Watoto 2 walikuwa wamekaa nje ya clinic,mmoja wao alikuwa analia kwa sauti.MTOTO WA 2:(akimuuliza wa 1)kwanini unalia? MTOTO WA 1:Nimekuja hapa kupima damu.MTOTO WA 2:Unaogopa? MTOTO WA...
2 old men were walking down the street when they see a dog licking his own "gear box". One old man looks at the other and says Damn, I wish I could do that!. The other old man looks back...
Nimekuwa nikitafakari sana ujio wa jf, nikakumbuka miadhala inayofanyikaga hasa Dar. Nilichokumbuka ni kwamba kwenye miadhala hiyo huwa unakuta watu wanabishana huku wakiongea bila kupeana nafasi...
Jana nimekutana na bwana mmoja aliyesema maneno amabyo si ya kawaida lakini yakaelekea kuleta maana.Alisema kuwa CHANZO cha matatizo la maadili, mamba za wanafunzi, nyumba ndogo, ubakaji na...
Unakuta girls wa siku hizi underwear zao zina kamba nyembamba ambazo zinafunikwa na makalio,kwa hiyo makalio yanakuwa nje na kamba imefunikwa na mfereji wa makalio,sasa hapo inavaliwa kwa sababu...
Jamaa wa kipare alimwambia mkewe wacheze kibati lakini yeye atakuwa kila akipiga kisi kimoja atatoa sh. 1000, ilipofika mwisho wa mwezi mke akatoa fedha alizokusanya akamuonyesha mumewe sh 60,000...
Welcome 2
Radio Bed FM
Dis Is Dj Bedsheet
Hngin Out Wis Dj Pilow
4 Nw I'l Play U A Song
Intilted
SleepTyt Dozn Ov
Swit Drimz 4m d Album
Gudnite
Njoy d Song
Nimecopy na kupaste maana...
Kila siku nasahau nilicho kiota, sasa kuanzia usiku huu wa leo ntaanza kulala na miwani ili nizione vizuri ndoto zangu na nikiamka nizikumbuke kirahisi.
Padri amekaa katika chumba cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili wa meza na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama.
Akisema "Padri...
Jamaa mmoja alikuwa anatembea pwani ya bahari ya Hindi..... huku anasali kimoyomoyo, akasema kwa sauti Mungu natamani unifanyie kitu kimoja.....ikasikika sauti kutoka mbinguni ikisema "Kwa kuwa...
Chadema walikuwa wanapiga makelele sana kwa cuf kukubali kuchukua umakamu wa rais zenji,narudia UMAKAMU URAIS!! Wakawatukana sana cuf na kuwaita weak! Wao wameongwa unaibu meya tu,narudia UNAIBU...
Katika zoezi linaloendelea hivi sasa,la kupiga kura ya kupitisha Bajeti,Mh.Edward Lowasa ameitwa mtoro na wabunge wenzake baada ya jina lake kuitwa na kuwa kimya,kuna mbunge akaitikia mtoro.
i wish ianzishwe data base ambayomajina ya wanawake kwa wanaume walioshindikana kuishi na waume or wake zao yawekwe ili kama ukipata mwenza ambae mnataka kufunga pingu za maisha basi unakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.